UZURI WA MJI WA KILWA
DOLA YA MRIMA (KILWA) ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D) No comments Mjii wa Kilwa ni mji maarufu sana barani afrika kwa sifa zake sio kwamba kwa sababu ya jina lake au ukarimu wa watu wake bali ni kwa historia yaketoka zama za kale za historia ya ulimwengu na habari za wanahistoriatokaduniani kote. Bila shaka binafsi sina shaka kabisa na hilii kwa sababu nilipata bahati ya kutembelea iliokuwa mijii kazaa ya Dola la Mrima yani miji ya kilwa, Tanga( mta'nga'ta), Sadani, Kaole, Zanzibar,Mombasa na Bagamoyo lakin pamoja na kujionea utajili wa kihistoria niliojionea sikusita kabisa kukubaliana na historia hiyo ya Dola la Mrima lililokuwa likipatikana pwani ya Azania na ndio Dola lililokuwa dola kuu Afrika kiuchumi, kijeshi, kisiasa na kiteknolojia. Pia ndio dola lililokuwa na ushawishi katika ulimwengu wa zama hizo uliokuwa ukiongozwa na Dola la Rumi na baadae Dola la Hermani (ujerumani). Taifa la Mrima ni Dola lililo kuwa likipatikana mashaliki ya ba...