Posts

Showing posts from October, 2018
             SIFA ZA CHOO BORA Nchi Tanzania kupita wizara ya afya inahamasiha watanzania kujenga choo bora katika nchi yetu.Hivyo vijana wa kitanzania ni fursa kwa kujenga vyoo bora huku ukijipatia kipato .CLOUD MEDIA GROUP kupita kauli mbiu “ya usichukulie bora nyumba ni choo “imeweza kufanikiwa   kuhamasisha watu kujenga vyoo bora mchini Zifuatazo ni sifa za choo bora Ukuta Choo bora lazima kiwe na ukuta unaweza kusaidia kustili mtumiaji   ili aweze kuwa na raha kipidi chote akiwa chooni hivyo ni muhimu sna kuwa na choo chenye ukuta. Mlango   Ukiwa na mlango bora   inakuwanya kuwa huru katika kutumia choooo bar hivyo tunashauriwa kuwa na choo   chenye malango Sakafu nzuri Inasidia kupuguza kutambaa kwa waduu ambao wanatokana na uchafu wa chooni Paa   na shimo nzuri Husaidiana kutuia jua na mvua pia shimo linasaidia kupunguza harufu chooni By godluk kawonga Chanzo Godluck kawonga               0758315397 Kwa maelezo zaidi   www.fursaconsultancy.co.tz
      NJIA YA KUWEKA AKIBA AKIBA ni nini Akiba   ni pesa ambayo inawekwa kwa malengo Fulani Kuna aina mbili ya akiba kutoka na maleng Akiba ya lazima Akiba sio ya lazima Mfumo wa kuweka akiba kutoka kwenye kipato Kipato huwa asilimia 100% Mgawanyo 20%    kuweka akiba 20%   matumizi ya kijamii mfano misaada ,michango ya harusi 40%   matumizi ya msingi kula ,kuvaa 20% uwekazi mfano ununuzi wa simu   NJIA NZURI YA KUWEKA AKIBA Vikoba Bank Upato,mchezo Simu bank Kibubu VIKOBA NA VIKUNDI Huu ni mtindo ambayo ulianzishwa kwa lengo la kusaidia wanawake kuweza kujiendeleza kimaendelo kwa kuweka akiba na kukopesha . Mfumo huu unaendeshwa na katiba ambayo inasimamiwa na viongozi ,Utumia mfumo wa kuweka fedha kwa kununua hisa ,pia kuweka fedha kwa mfuko wa jamii Faida zake Husaidia kushilikia katika mambo ya kimaendeleo pia kuuza na kunununa bidhaa mbalimbali za wajasilimali . BANK Bank nyingi zinakuwa mfumo mbalimbali za kuweka aikiba mfano
                        MBINGA MJINI HABARI KWA VIJANA MBINGA KWA WALE WENYE NDOTO NA TUMAINI  KUBWA LA KUWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TUNAEZA KUFUNGUA FIX ACCOUNT TUKAWEKA PESA 20,000 KWA 20 KWA MWEZI 400,000 KWA 4,800,000 AMBAYO TUTAWEZA KUFANYA BIASHARA KUBWA . MFUMO WAUTUNZAJI FEDHA UTASAJILIWA KISHERIA   KWA MAELEZO ZAIDI WHATAPP  0758315397 GODLUCK KAWONGA 
VACK GROUP  Kupitia uongozi wa kikundi vack group tunapenda  kutoa taarifa kwa uuma juu ya mafuzo mbalimbali katika ujasimali yanayotelea bure. VACK GROUP ni kikundi kinachoshughuli mbalimbali na kina wataalamu mbalimbali. MAFUZO YANAYOTOLEWA  UJASILIMALI  STADI ZA MAISHA  MATUMIZI YA TEHEMA   JINSI YA KUTUMIA FURSA MKOA WA RUVUMA  JINSI YA KUANZISHA  KIKUNDI , CHAMA CHA USHILISHA NA KAMPUNI   USHAURI NA JINSI KUFANYA BIASHARA KUPITIA MIKATABA     MAKAO MAKUU YA VACK GROUP                   MKOA : Ruvuma                    wilaya:   Mbinga mjini                   kata    :masumuni                    mtaa : uzunguni  Mwenyekiti :0758315397 TAWI LA MTWARA ENEO  :Chuo cha stella maris mtwara               kata :shangani  mawasilion :0758315397 barua pepe :goodluckkawonga@gmail,com TAWI LA DAR      ENEO  :KARIKAOOO      MTAA: WA CONGO  TAWI LA TUNDUMA        ENEO : BODER
Image
PICHA BAADA YA KUHUDHURIA FURSA 2018
Image
Fiesta 2018 fursa :fikra mpya mtwara Fursa   mtwra kupitia kaulimbiu ya fikra mpya iliweza kuanisha fursa nyingi chini ya mwezeshaji Hassan ngoma huku mgeni rasmi mkuu wa mkoa ndugu     GELASIUS     BYAKAWANMWA     pia kulikuwa na watalaamu wa kilimo toka taasisi ya utafiti naliandele ndugu Kapinga   vijana wakishiriki katika fursa H assan Ngom a mtangazaji wa clous tv kipindi cha 360 akiwa na wanachuo toka sauti(mtwara) baada ya mafunzo  HASSAN NGOMA ( huyo wa katika) FURSA AMBAZO LILIWEZA KUPATIKA ·          Kupitia zao la korosho linaweza kutimika katika matumizi mengi licha ya kutumika kwa kuuza tu . a)Lina weza kitumika kwa kutengeneza   wine,juice,dawa,chakula cha mifugo,jam,siagi na kama chanzo cha nishati ·          B) Kitumia zao la mihogo unaweza kupata starch,unga wa lishe   kwa maelezo ya piga 0716743515 kujua zaidi ·         C)  Pia uuzajia wa nguo   kwa bei ya jumla kutoka kariakoo maana kuna watu wanatoka msumbiji kwenda huko hivyo kwa kufanya hi