Fiesta 2018 fursa :fikra mpya mtwara
Fursa mtwra
kupitia kaulimbiu ya fikra mpya iliweza kuanisha fursa nyingi chini ya
mwezeshaji Hassan ngoma huku mgeni
rasmi mkuu wa mkoa ndugu GELASIUS
BYAKAWANMWA pia kulikuwa
na watalaamu wa kilimo toka taasisi ya utafiti naliandele ndugu Kapinga
vijana
wakishiriki katika fursa
Hassan Ngoma mtangazaji wa clous tv kipindi cha 360 akiwa na wanachuo toka sauti(mtwara) baada ya mafunzo
HASSAN NGOMA ( huyo wa katika)
FURSA AMBAZO LILIWEZA KUPATIKA
·
Kupitia zao la korosho linaweza kutimika
katika matumizi mengi licha ya kutumika kwa kuuza tu .
a)Lina weza kitumika kwa
kutengeneza wine,juice,dawa,chakula cha
mifugo,jam,siagi na kama chanzo cha nishati
· B)Kitumia zao la mihogo unaweza kupata
starch,unga wa lishe kwa maelezo ya piga
0716743515 kujua zaidi
· C) Pia uuzajia wa nguo kwa bei ya jumla kutoka kariakoo maana kuna
watu wanatoka msumbiji kwenda huko hivyo kwa kufanya hivyo utaweza kupata zaidi
wateja kwa maelezo zaidi wasiliana na 0786410406
· D) Ujenzi wa choo bora
· E) Utengenezaji wa mapambo kupitia chupa za
wine
· G) Mafunzo yanayotolewa na agkann
foundation juu ya kilimo na ufugaji pia mambo ya alizeti ambao zao la faida
sana kwa maelezo faidi 071261800
·
Utengenezaji wa mafuta ya nazi kwa
maelezo zaidi 0713908071
Kwa mawasaliano zaidi Vodacom :0758315397
Facebook bedah g vack
Instagram : Vack
production
Barua pepe :goodluckkawonga@gmail.com
Comments
Post a Comment