Posts

Showing posts from November, 2018
https://yingamedia.com/2018/11/video-rayvanny-ft-diamond-platnumz-mwanza/

KATIBA YA UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO

KATIBA YA UMOJA WA MWANACHUO                       STEMMUCO 2018 1.                  JINA NA OFISI a.                  JINA. Katiba hii imaandikwa Kwa taratibu za uanzishaji na uendeshaji wa vikundi na itajulikana kama Kikundi cha UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO katika Halmashauri/Manispaa ya mtwara mikindani b.                 LUGHA Lugha rasmi itakayo tumika katika Kikundi hiki ni Kiswahili na kiingereza c.                   MUHURI Kikundi hiki cha UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO kitakuwa na muhuri ambao utatumika katika nyaraka zote za Kikundi. 2.                  SHABAHA 2.         Kuanzisha na kuendeleza mifuko ya kukopeshana ambayo ni mfuko wa hisa, Jamii na mifuko mingine ambayo wanachama wataridhia kuianzisha ndani ya kikundi hiki. 1.      Kutoa mikopo kwa wanachama kwa masharti nafuu kama mfumo wa vikundi   unavyo eleza. 2.      Kutoa mafunzo ya kina kwa wanakikundi juu ya kuweka fedha, kukopeshana na faida ya kurejesha mikopo kwa wakati. 3.