NJIA YA KUWEKA
AKIBA
AKIBA ni nini
Akiba ni pesa ambayo inawekwa kwa malengo Fulani
Kuna aina mbili ya
akiba kutoka na maleng
Akiba
ya lazima
Akiba
sio ya lazima
Mfumo wa kuweka akiba
kutoka kwenye kipato
Kipato
huwa asilimia 100%
Mgawanyo
20% kuweka akiba
20% matumizi ya kijamii mfano misaada ,michango
ya harusi
40% matumizi ya msingi kula ,kuvaa
20% uwekazi mfano
ununuzi wa simu
NJIA
NZURI YA KUWEKA AKIBA
Vikoba
Bank
Upato,mchezo
Simu bank
Kibubu
VIKOBA
NA VIKUNDI
Huu ni mtindo ambayo
ulianzishwa kwa lengo la kusaidia wanawake kuweza kujiendeleza kimaendelo kwa
kuweka akiba na kukopesha . Mfumo huu unaendeshwa na katiba ambayo inasimamiwa
na viongozi ,Utumia mfumo wa kuweka fedha kwa kununua hisa ,pia kuweka fedha
kwa mfuko wa jamii
Faida
zake
Husaidia kushilikia
katika mambo ya kimaendeleo pia kuuza na kunununa bidhaa mbalimbali za
wajasilimali .
BANK
Bank nyingi zinakuwa
mfumo mbalimbali za kuweka aikiba mfano
Saving
account ambayo
unaeka fedha bila makato na unapata bonas kwa NMB na CRDB
Fixed
account hii unawe bila kutoa kwa muda maalumu.
Current account hutumiwa na
watu wenye fedha zaidi
KIBUBU
Njia hii haishauriwi
san maana inachangamoto ya kuto kutambulika na watu kwenye mambo ya
kifedha japo inasidia
MICHEZO /UPATU
Njia hii ni nzuri maana
mnachanga pesa kasha anapewa mmoja mmoja kulingana na mfumo wa mchezo husaidia
sana kwa wajasiliamali ila taasisi za
kifedha ina kuwa kugu kukuamini ili kupata mkopo
SIMU
BANK
Hii ni mtandoo za simu
mbalimbali ambayo inaweza kuku saidia kusaidia kuweka pesa kwa haraka na pia
inatoka mkopo.
M PESA
HALLO PESA
T PESA
Comments
Post a Comment