SIFA ZA
CHOO BORA
Nchi Tanzania kupita
wizara ya afya inahamasiha watanzania kujenga choo bora katika nchi yetu.Hivyo
vijana wa kitanzania ni fursa kwa kujenga vyoo bora huku ukijipatia kipato
.CLOUD MEDIA GROUP kupita kauli mbiu “ya usichukulie bora nyumba ni choo “imeweza
kufanikiwa kuhamasisha watu kujenga vyoo
bora mchini
Zifuatazo ni sifa za
choo bora
Ukuta
Choo bora lazima kiwe
na ukuta unaweza kusaidia kustili mtumiaji
ili aweze kuwa na raha kipidi chote akiwa chooni hivyo ni muhimu sna
kuwa na choo chenye ukuta.
Mlango
Ukiwa na mlango
bora inakuwanya kuwa huru katika kutumia
choooo bar hivyo tunashauriwa kuwa na choo
chenye malango
Sakafu nzuri
Inasidia kupuguza
kutambaa kwa waduu ambao wanatokana na uchafu wa chooni
Paa na shimo nzuri
Husaidiana kutuia jua
na mvua pia shimo linasaidia kupunguza harufu chooni
By godluk kawonga
Chanzo Godluck kawonga
0758315397
Kwa maelezo zaidi
www.fursaconsultancy.co.tz
Comments
Post a Comment