https://yingamedia.com/2018/11/video-rayvanny-ft-diamond-platnumz-mwanza/
Posts
Showing posts from November, 2018
KATIBA YA UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO
- Get link
- X
- Other Apps
KATIBA YA UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO 2018 1. JINA NA OFISI a. JINA. Katiba hii imaandikwa Kwa taratibu za uanzishaji na uendeshaji wa vikundi na itajulikana kama Kikundi cha UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO katika Halmashauri/Manispaa ya mtwara mikindani b. LUGHA Lugha rasmi itakayo tumika katika Kikundi hiki ni Kiswahili na kiingereza c. MUHURI Kikundi hiki cha UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO kitakuwa na muhuri ambao utatumika katika nyaraka zote za Kikundi. ...