Posts

Showing posts from August, 2020

Kwa mujibu wa wanaisimu wa kiswahili Masamba

UTANGULIZI Masamba (2001) akimnukuu Lyons (1978) Anasema kuwa kishazi ni kundi la maneno lenye kiima na kiarifu hasa likiwa ndani ya sentensi .Au   Vishazi     ni tungo yenye kitenzi ambacho chaweza kujitosheleza na kukamilisha ujumbe uliokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegemea chenyewe . Kuna aina mbili za vishazi yaani viishazi tegemezi na vishazi huru. masamba na wenzie   (2001)   anasema kuwa sentensi ni kipashio kikubwa chenye maana kamili. Sentensi imeanishwa kwa kuzingitia umuundo na kimaana. Kwenye muundo Kuna aina tatu za sentensi yaani ni sentensi sahili, sentensi changamano, sentensi ambatano. Na upande wa kimaana Kuna sita za sentensi yaani sentensi taarifa, sentensi ulizi, sentesi shurutia, sentensi mshangao, sentensi yakinishi na sentensi kanushi.   Kwa mujibu wa wanaisimu   wa kiswahili Masamba   (2001),     Nkwera (2013),   Matinde (2012) ,   Kapinga (1983),   Masebo (2...

happy birthday since 2015

Image