Posts

Showing posts from April, 2017
ZIFAHAMU SHORTCUT KEYS ZA WINDOWS* 1. Alt + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja, vifungo hivyo vitakusaidia kukuhamisha kutokea program moja mpaka nyingine. 2. Alt + Shift + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja, vifungo hivyo vitakusaidia kukurudisha katika program uliyoifungua nyuma yake(switch backwards).** 3. Ctrl + Alt + Del......vifungo hivi vitaleta task manager ambayo itakusaidi kuifunga programa ambayo kwa nyia ya kawaida inagoma kujifunga(not responding) ,pia unaweza kureboot,switch off n.k, pia itakujulisha active process n.k 4. Ctrl + Shift + Esc.........inafanya kazi sawa na 3.* * 5.Ctrl + Esc.......itakuletea start menu.* * 6.Alt + Esc..inakusaidia kuhama kutoka application moja mpaka nyingine kwenye taskbar.* * 7. F1............itafungua page ya help kwenye application uliyoifungua.* * 8. F2.......Kama unataka kurename icon uliyoichagua.* * 9. F3....itafungua kibox ambacho kitakusaidi kusearch/kutafuta kitu kutoka kwenye desktop au page...
Image
       T anzango  Tangazo   vack group wameleta hat punguzo katika huduma zao kwa wote wenye matatizo ya komputa kama vile kuweka windows kama windows 7,8,10 n.k kuweka software kama microsoft office,ant- virus n,k kuweka games kama vice city n.k kusajiliwa na kifurushi cha chuo voda (bure) njoo kwa kitambulisho na gmail. matatizo mengine ya komputa pia tunauza frash,memory ukubwa wowote nguo za kiume na za kike kwa bei poa sana            wasaliana ; 0758315397                              whatapp
Image
ZIARA YA WANACHUO CHA STEMMUCO  KIWANJA CHA NDEGE MTWARA Wanachuo toka chuo cha stemmuco akiwa katika mafunzo ya vitendo katika kiwanja cha  ndege 
Image
VIJANA WA KITANZANIA KATIKA MAISHA YAO   Toka you vikuu tanzania kuna tabia nyingi sana za vijan ambazo humomonyoa maadil ya tanzania   yafuatayo ni mambo ambayo wanakumbu vijana katika maisha ya chuo   mapenzi,pombe na mengine mengi .tamaza chin hapo 

MTAZAMO WA MAISHA