ZIFAHAMU SHORTCUT KEYS ZA WINDOWS*
1. Alt + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja, vifungo hivyo vitakusaidia kukuhamisha kutokea program moja mpaka nyingine.
2. Alt + Shift + Tab......Kama umefungua application zaidi ya moja, vifungo hivyo vitakusaidia kukurudisha katika program uliyoifungua nyuma yake(switch backwards).**
3. Ctrl + Alt + Del......vifungo hivi vitaleta task manager ambayo itakusaidi kuifunga programa ambayo kwa nyia ya kawaida inagoma kujifunga(not responding) ,pia unaweza kureboot,switch off n.k, pia itakujulisha active process n.k
4. Ctrl + Shift + Esc.........inafanya kazi sawa na 3.* *
5.Ctrl + Esc.......itakuletea start menu.* *
6.Alt + Esc..inakusaidia kuhama kutoka application moja mpaka nyingine kwenye taskbar.* *
7. F1............itafungua page ya help kwenye application uliyoifungua.* *
8. F2.......Kama unataka kurename icon uliyoichagua.* *
9. F3....itafungua kibox ambacho kitakusaidi kusearch/kutafuta kitu kutoka kwenye desktop au page yoyote.* *
10. F4......itakusaidia kuchagua drives(hard disk, optical disk n.k) kama itakuwa umefungua my computer window n.k* *
11. F5.....hii itatusaidia kurefresh .*12. *CTRL+C: kopi/ copy
13. CTRL+X: kata/cut**
14. CTRL+V: pesti/paste
15. CTRL+Z: rudi nyume katika kitendo ulichokifanya /Undo* *
16. CTRL+B: fanya maandishi mazito/Bold* *
17. CTRL+U: pigia mstari maandishi/Underline* *
18. CTRL+I: laza kwa mbele maandishi/Italic* *
19. ALT+F4: funga window uliyoifungua* *
20. CTRL+A: chagua vitu vyote vilivyopo kwenye windo uliyoifungua/Select all the items in the current window* *
Delete: futa kitu ulichokichagua lakini kitajihifazi kwenye recycle bin* *
21. Shift+Delete: kifute kitu ulichokichagua moja kwa moja hakitoweza kujihifadhi kwenye recycle bin* *
22. Alt+Enter : itaonesha tabia/ properties ya kitu ulichokichagua* *
23. CTRL+RIGHT ARROW: kama umeweka pointer katikati ya maneno unaweza kukisogeza upande wa kulia   


 by g vack 0758315397


Comments

Popular posts from this blog

Information technology

MKATABA WA KUPANGA NYUMBA

Unominishaji,