KATIBA YA VACK GROUP SEHEME YA 1. UTANGULIZI 1 JINA LA KIKUNDI VACK GROUP IBARA YA PILI: 2: TAFSIRI YA MANENO MBALIMBALI 2.1 Kikundi kina mkusanyikon wa watu 2.2 Wanachama wa kikundi wana mtazamo moja 2.3 Wanadhamira moja katika kujenga taifa IBARA YA 3. UTANGULIZI Wanachama wa kikundi cha VACK GROUP tumejipanga kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo yetu IBARA YA 4. KATIBA Katiba ni kanuni ya nchi au taasisi iliyopangwa kwa makubaliano maalumu yanayosimamia sheria kufuata miongozo yake bila kwenda kinyume.Kwenda kinyume cha hapo ni kosa. IBARA YA 5. JINA LA KIKUNDI Kikundi kinaitwa VACK GROUP IBARA YA 6. LUGHA RASMI YA KIKUNDI Lugha rasmi ya kikundi ni Kiswahili na kingereza. IBARA YA 7. OFISI KUU Makao makuu ya kikundi yatakua ndani ya Mbinga mjini. IBARA YA 8. ENEO LA UTENDAJI WA KAZI Itakuwa ndani ya wilaya ya mbinga IBARA YA 9. KANUNI ZA KIMAADILI 9.1 Kuheshimiana wenyewe kwa weny...
HARMORAPA Since Artist Harmorapa has entered the music to start to be compared to an artist Harmonize, every time the rapper has been entered on the 'headline' wide and discussed by many artists the biggest in the country, others were pleased with his actions while others mocked him and see that he deserves to be a musician. He started as a joke has to be compared with the bright label WCB minor then starts to penetrate into the ears of love entertainment. We are referring here HarmoRapa is predicted to major in music of bongo Fleva Time here. His first single not divide a passport is placed on the map and start to be known, though it did not properly market. This Time around HarmoRapa has come up with another hit in Town goes by the name "kiboko ya mabishoo" Many thought if Jokes but relatives had become serious now after signing a deal with a large imaging technology bongo Slides Visual less Mx Carter. Also contusion with producer p funk ...
MKATABA WA KUPANGA NYUMBA/ CHUMBA KATIKA NYUMBA YA BI ZAINABU MUSSA M’BISI ILIYOKO ENEO LA KISUTU MTWARA MJINI. Makubaliano yaliyobainishwa hapo chini yamefanyika hapa Mtwara siku ya tarehe……….mwezi wa…………….mwaka………………… Baina ya Bi Zainabu M. M’bisi ambaye katika mkataba huu anajulikana kama mmiliki halali wa nyumba iliyoko katika mtaa wa kisutu kiwanja namba…………………Mtwara. Na Bw/Bi………………………………………………….atakayejulikana katika mkataba huu kama mpangaji kwa mwenye nyumba kwa kuwa nia ya mwenye nyumba ni kupangisha watu/mtu katika nyumba yake, kwa mpangaji aliyetajwa hapo juu ambaye ameomba apate nafasi ya chumba/ nyumba hii. Kwa kuwa mpangaji ameomba apange chumba/ nyumba kwa matumizi ya kuishi/ kulala humo na mwenye nyumba amekubali kumpangisha mpangaji kama alivyoomba. Hivyo basi kwa mkataba huu pande zote mbili zimekubaliana kama ifuatavyo;- 1. Kwa malipo ya pango yaliyoainishwa hapa chini mwenye nyumba anampangisha mpangaji chumba/ nyumba. 2...
Comments
Post a Comment