KATIBA YA KIKUNDI
KATIBA YA VACK GROUP SEHEME YA 1. UTANGULIZI 1 JINA LA KIKUNDI VACK GROUP IBARA YA PILI: 2: TAFSIRI YA MANENO MBALIMBALI 2.1 Kikundi kina mkusanyikon wa watu 2.2 Wanachama wa kikundi wana mtazamo moja 2.3 Wanadhamira moja katika kujenga taifa IBARA YA 3. UTANGULIZI Wanachama wa kikundi cha VACK GROUP tumejipanga kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo yetu IBARA YA 4. KATIBA Katiba ni kanuni ya nchi au taasisi iliyopangwa kwa makubaliano maalumu yanayosimamia sheria kufuata miongozo yake bila kwenda kinyume.Kwenda kinyume cha hapo ni kosa. IBARA YA 5. JINA LA KIKUNDI Kikundi kinaitwa VACK GROUP IBARA YA 6. LUGHA RASMI YA KIKUNDI Lugha rasmi ya kikundi ni Kiswahili na kingereza. IBARA YA 7. OFISI KUU Makao makuu ya kikundi yatakua ndani ya Mbinga mjini. IBARA YA 8. ENEO LA UTENDAJI WA KAZI Itakuwa ndani ya wilaya ya mbinga IBARA YA 9. KANUNI ZA KIMAADILI 9.1 Kuheshimiana wenyewe kwa weny...