mhutastali wa vack group
MUHTASARI WA KIKUNDI
AGENDA:
a) Kufungua kikao
b) Kuanzisha kikundi
c) Kucchagua jina la kikundi
d) Kufungua akaunti benki e)
Kufunga kikao
A) KUFUNGUA KIKAO
Mwenyekiti wa muda alifungua kikao mnamo saa saba tarehe 6/9/2017 baada ya kuona mahudhurio yanaridhisha
B) MWENYEKITI KUFUNGUA KIKUNDI
Mwenyekiti wa muda ataweka wazi bayana juu ya kuanzisha kikundi kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.Dhamira ya kikundi ni kutoa elimu ya ujasilimali mfano,kuandaa matamasha ,kutoa elimu juu ya magonjwa mbalimbali mfano HIV,Malaria n.k ,Elimu ya biashara ndogo ndogo na kilimo .Kwa kufanya hivyo wataweza kuongeza kipato na kujitangaza zaidi ili kufikia lengo la sera ya mheshimiwa Raisi wa nchi Mh. JOHN POMBE MAGUFULI Tanzania ya viwanda. Wote walifikia mawazo hayo na kuamua kuchagua viongozi, Uongozi ulikuwa kama ufuatao:
i) Godluck H. Kawonga: Mwenyekiti
ii) Geofrey Matembo: Mwasibu
iii) Festo Germanus Mbwilo: Katibu
Mwenyekiti aliyechaguliwa atashirikiana na viongozi wenzake ili kufikisha lengo
C) KUCHAGUA JINA LA KIKUNDI
Wanachama walipendekeza kikundi kiitwe VACK GROUP
D) KUFUNGUA AKAUNTI YA KIKUNDI
Wanakikundi waliukubaliana kufungua akaunti ya kikundi katika benki ya posta na kusajili kikundi kisheria katika halmashauri ya wilaya. Walikubaliana kuchangia gharama zote ambazo zitahusika katika kufungua akaunti na kusajili kikundi kisheria
E) KUFUNGA KIKAO
Mwenyekiti alifunga mkutano mnamo saa tisa kamili tarehe 6/9/2017
MAHUDHURIO JINA LA MWANACHAMA WASIFU SAHIHI NAMBA YA SIMU
1 GODLUCK H. KAWONGA MWANYEKITI 0758315397
2 GEOFREY MATEMBO MUHASIBU 0757835085
3 FESTO GERMANUS MBWILO KATIBU 0768189802
4 GOODLUCK LUPEMBE MWANACHAM 0742292750
5 ANDREW MAPUNDA MWANACHAMA 0758640489
6 JANUARY MAPUNDA MWANACHAMA 0766958217
7 SHARIF MALKI MWANACHAMA 0768322899
8 DICKSON HYERA MWANACHAMA 0752517278
9 KERBIN NDUNGURU MWANACHAMA 0754042225
10 FIRBETH NDOMBA MWANACHAMA 0746287732
11 PROSPER NDIWU MWANACHAMA 0767648549
12 CHESTER B. KAPINGA MWANACHAMA 0766050784
13 STEVEN KOMBA MWANACHAMA 0758859496
14 MELKION MKWELA MWANACHAMA 0757729527
Imetolewa na uongozi wa vack group
GODLUCK KAWONGA
Mwenyekiti

Comments
Post a Comment