jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii
jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii
vijana tunashauriwa kutumia mitandao ya kijamii ili kuendele dhana ya uchumi wa viwanda kupitia sera ya vijana na mtamzamo wa rais wetu.
unaweza kutumia kwanjia ya kuwapasha watu habari kama
jinsi ya kupata ushauri wa kibiashara
mfano watu wengi wanakuwa na biashara lakin wanakota kuendana na mahitaji ya watumiaji hivyo kutumia fursa hivyo unaweza kutoa taarifa kwa umma juu ya kupata mahitaji bora toka kampuni tofautitofauti na wew ukapata kipata
njia ya pili ni kutangaza bidhaa mabalimbali kama juice za matuunda ,magari na vitu mbalimbali
hivyo kijna wa kitanzania unaweza ukatumian nafsi hivyo kukuwapa watu habari nakupata kamisheni kwa kila utapata mteja kupitia wewe
hivyo tunatakiwa kufanya hivyo pia tuweze kujinusuri kupata madhara mbalimbali
pia matatizo ambayo yanaweza kupatikana kutoka na matumizi mbaya ya mitaandao ya kijamiimfano fecebook ni pamojana kupata home mbalimabali
ugonjwa ,kukata tamaaa na kutumia pesa vibaya .
Comments
Post a Comment