MUHTASARI WA KIKUNDI
AGENDA:
a) Kufungua
kikao
b)Mwenyekiti kusoma maendeleo ya kikundi
c)Kubadili
watia sahihi bank
d)Kufungakikao
A)
KUFUNGUA
KIKAO
Mwenyekiti
waatafungua kikao mnamosaa 4;00 baada ya kuona mahudhurio yanaridhisha.
B)
MWENYEKITI
KUSOMA MAEDELEO YA KIKUNDI
Mwenyekiti alisoma maendeleo
ya kikundi .Mwenyekiti alioyesha hali ya kuto lizishwa na wajumbe katika
mchango na nia ya kuendeleza kikundi kutokana na wajumbe baadhi kuto toa
michango wala bila kutoa taarifa hivyo mwenyekiti ,aliwaomba wajumbe kurejea
katiba juu ya safi ya uwanachama ,
Wajumbe waliomba katiba itekelezwe juu ya
wajumbe ambao hawatimiza wajibu na bila kutoa taarifa yoyote .
C)
KUBADILI
WATIA SAHIHI BANK
Mwenyekiti
alitoa mwongo juu ya badili wa tia sahihi bank sabau miongoni mwao wamekosa
sifa za kuwa wanachama wa kikindu kutoka na katiba hiyo wajumbe walipendekeza
kuwa ANDREA MAPUNDA kuwa katibu na
kuwa mingoni watia sahihi
Wajumbe
walipendekeza wati sahihi wawe wawili toka kwenye wanee
E)KUFUNGA KIKAO
Mwenyekiti
alifunga mkutano mnamo saa 6;00
MAHUDHURIO
JINA
LA MWANACHAMA
|
WASIFU
|
SAHIHI
|
|
1
|
GODLUCK
H. KAWONGA
|
MWANYEKITI
|
|
2
|
ANDREW
MAPUNDA
|
MUHASIBU
|
|
3
|
DICKSON NYERA
|
MWANACHAMA
|
|
4
|
JANUARY
MAPUNDA
|
MWANACHAMA
|
|
5
|
CHESTER MPUTI
|
MWANACHAMA
|
|
6
|
SHARIF
MALKI
|
MWANACHAMA
|
|
7
|
KERBIN
NDUNGURU
|
MWANACHAMA
|
|
8
|
PROSPER
NDIWU
|
MWANACHAMA
|
Comments
Post a Comment