FURSA MKOANI
WA MTWARA 2018
FIESTA FURSA:FIKRA
MPYA
Mkoa wa mtwara ni mmoja ya mikoa yenye fursa kubwa
sana licha ya kuwa na zao maarafu la korosho kuna fursa nyingi nyingi pamoja na
kuzungukwa na nchi ya msumbiji,kisiwa cha komoro pia maeno ya mtwara mpaka sasa
nusu tu ndio limetumika.
Mkuu wa mkoa wa mtwara ndugu GELASIUS BYAKAWANMWA
ameeleza kubwa kila mwaka msimu wa korosho wanapokea wageni sana hivyo unaweza
kupata fursa nyingi ,
Afisa kutoka
taasisi ya uchunguzi na utafiti wa mazao ya kilimo na biashara kutoka NALIANDELE Ndugu KAPINGA aleza fursa kubwa kutokana na
zao la korosho
ZIFUTAZO
NI FURSA ZINAZOTOKANA NA ZAO LA KOROSHO
·
Kutengeza gundi
·
Kutengeza mkaaa
·
Kutengeza siagi
·
Kutengeza wine
·
Kutengeneza chakula cha kuku
·
Kutengeza dawa
·
Kutengeza juice
·
Kutengeza maziwa
Mafunzo ya kutengeneza bidhaa zote yanatolewa na TAASISI YA UTAFITI YA NALIENDELE mkonani mtwara
.
Kwa
mawasliono zaidi wasiliana mkurungezi wa taasisi ya utafiti ndungu kapingasHivyo kuna fursa nyingi zaidi
katika jambo hilo licha kuuza korosho tu
Licha hiyo mkuu wa mkoa alihimiza sana juu ya
matumiza ya tehema katika swala la kutufuta masoko licha ya watumiaji wengi
kutumia vibaya .
Kwa mawasaliano zaidi Vodacom :0758315397
Facebook bedah g vack
Instagram : Vack
production
Barua pepe :goodluckkawonga@gmail.com
Comments
Post a Comment