HATUA 10 ZA USAJILI WA KAMPUNI BRELA
Hatua #1: Taarifa za msajili
1.Kitambulisho cha Taifa kwa wenyeji na Passport kwa
wageni
Godluck kawonga ntanzania
2. Simu
ya kiganjani
Namba
:- 0758315397
3. Barua
pepe yaani email
Goodluckkawonga@gmail.com
Hatua #2: Taarifa za kampuni (Company Information)
1.
Aina ya kampuni kama ni ya hisa au isiyo
na hisa, ya binafsi au ya uma nk
Ya hisa
2. Jina la kampuni
VACK AGENT AND
DISTIBUTION CAMPANY
2.
Kazi zitakazokuwa zikifanywa na hiyo
kampuni tarajiwa (Activity description)
i)
Kutafuta masoko ya bidhaa
za wajasilimai
ii)Kilimo
na ufungaji
iii)kuongeza dhamani bidhaa za wajasilimali
iv)
kuwezesha wajasilimali kupata elimu ,vifaa na mtaji
Hatua #3: Ofisi za kampuni (Office Location)
1. Aina
ya eneo (Aidha limepimwa au la) mbinga mjini ,Ruvuma ,Tanzania
2. Kama
halijapimwa tayarisha anuanii ya makazi yenye mfumo huu, jina la Mkoa, Wilaya,
Kata, kijiji, kitongoji na ueleze kama eneo lipo karibu na alama zipi ambazo
hazihamishiki kama shule ya msingi nk. Usiweke alama ambazo hazina uhakika wa
kudumu hapo maana brela watazikataa.
3. Kama
limepimwa tayarisha yafuatayo: Jina la Mkoa, Wilaya, Kata, kijiji/mtaa,
barabara, namba ya kiwanja, namba ya kitalu na namba ya nyumba, sanduku la
posta, simu ya ofisi/kiganjani na barua pepe (email)
Hatua
#4: Shughuli za Kampuni (Company Activities)
i)kuuza
nguo za dukani na za mtumbani
ii)uwakala
wa mpesa na kusajili laini
iii)kukopesha
ela kupitia kikundi
iv)udalali
wa vitu mbalimbali
v)kufuga
na kuuza mafazo na mifugo
vi)ukwala
wa kuuza vitu ya dukani
vii)huduma
za komputa na stationary
• Taja
shughuli za kampuni kama ilivyoorodheshwa kwenye mfumo wa ISIC Classification
Hatua #5: Taarifa za Wakurugenzi (Directors
Information)
1.
Aina ya mkurugenzi kama ni mtu au
taasisi
Mkurungezi : GODLUCK HYASINT KAWONGA
2.
Asili yake kama ni mwenyeji au mgeni
MTANZANIA
3.
Kitambulisho cha taifa kama ni mwenyeji
au passport kama ni mgeni
NIDA TANZANIA
4. TIN
TRA
5. Simu
ya kiganjani NAMBA :- 0758315397
6. Barua
pepe yaani email :- goodluckkawonga@gmail.com
7. Anuani
ya makazi kwa kila mkurugenzi kwa kufuata mfumo wa anuani ya ofisi hapo juu
Mkurugenzi wa vack agent and ,
distribution company limited,
P.O BOX 1120,
MBINGA .
Hatua #6: Taarifa za katibu wa kampuni (Company
Secretary)
1. Aina
ya mtu kama ni mtu asili au taasisi
GEOFREDY MAPUNDA
2. Asili
yake kama ni mwenyeji au mgeni
MTANZANIA
3. Kitambulisho
cha taifa kama ni mwenyeji au passport kama ni mgeni
4. Simu
5. Barua
pepe - email
6. Anuani
ya makazi kwa kila mkurugenzi kwa kufuata mfumo wa anuani ya ofisi hapo juu
Hatua #7: Taarifa za wanachama/wenye hisa
(Subscribers Information)
1.
Aina ya mtu kama ni mtu au taasisi
i)Mwanachama anatakiwa
aweze na huwezo wa kutoa hisa
ii)Kutafuta masoko na
kuwa mbunifu katika kufikisha malengo
iii)Awe mjasiliamali
2. Asili
yake kama ni mwenyeji au mgeni WATANZANIA
3. Kitambulisho
cha taifa kama ni mwenyeji au passport kama ni mgeni
4. Simu
0758315397
5. Barua
pepe – email goodluckkawonga@gmail.com
6. Anuani
ya makazi kwa kila mkurugenzi kwa kufuata mfumo wa anuani ya ofisi hapo juu
Mkurugenzi wa
vack agent and ,
distribution company
limited,
P.O BOX 1120,
MBINGA .
Hatua #8: Viambatanisho (Attachments in PDF)
Viambatanisho vinavyotakiwa kuambatanisha kwenye
maombi (zote katika pdf) ni:-
1. Memorandum
and articles of association iliyosainiwa na wanachama/wenye hisa pamoja na
mwanasheria wa uma (Notary Public)
2. Form
14b iliyosainiwa na mmoja wa wakurugenzi na mwanasheria wa uma (Notary Public)
3. Ethics
and Integrity Forms iliyosainiwa na mmoja wa wakurugenzi
4. Company
consolidated form iliyosainiwa wakurugenzi wote na katibu wa kampuni
Hatua #9: Ada za usajili na kufaili (Different Fees)
Aina za ada ni kama ilivyoonyeshwa hapa chini
1. Kusajili
kampuni
2. Kuhifadhi
nyaraka na
3. Stamp
Duty
Hatua #10: Namna ya kulipa ada (Payment Methods)
Malipo ya ada yanafanyika kwa njia kuu mbili ambazo
ni
1. Simu
ya mkononi kwa kutumia akaunti za MPESA, Tigo Pesa, Airtel Money na HaloPesa
2. Kulipa
moja kwa moja benki kwenye akaunti zilizopo CRDB au NMB
Kumbuka: Utaratibu wa malipo aidha kwa simu au benki
utapewa ukishafikia hatua husika ya malipo.
Comments
Post a Comment