MAFUNZO YA UJASIMALI
Mafunzo ya via jiandarie ajira
LENGO
LA MAFUNZO
Lengo
la mafunzo ni kuwezesha kijana kuweza kujiaji baada ya kupata elimu .pia
mafunzo yanatolewa katika hatua tatu
Kupata mafunzo
Malezi
Mkopo
Mada kuu katika mafunzo
1.
Stadi
za maisha
2.
Elimu
ya ujasimali
MAFUNZO
YAMEKUWA YAKIANDESHWA NA TAASISI MBALIMBALI
SIDO
Kazi
za sido
·
Kutoa mafunzo
·
Kutafuta makoso
·
Mikopo
MFUKO
WA RAIS WA KUJITEGEMEA
KAZI
ZAKE
·
Kutoa
mikopo kwa vikundi na mafunzo
Chama
cha wafanyabiashara
Kinatoa
mikopo midogo mdogo
HALMASHAURI
Chini
ya afisa maendeleo wanatoa mikopo kwa
wajasiliamali walio kwenye vikundi
Comments
Post a Comment