Mafunzo ya vack  group

Vack group inatoa mafunzo ya ujasiliamali katika kukuuza ujumi  wa  wajasilimalie katika kuendeleza uchumi wa vijana Tanzania .Mafunzo hayo yanatolewa na mwenyekiti ndungu MW. Godluck kawonga kwa kufuata mfumo wa via jiandelie ajila  yenye malengo y kumpa nafasi  kijana katika kuanda mazingira ya kupata ajira katika maisha
Via jia nadalie ajili hipo inchini tanzanaia ikidhaminiwa na master card   na  youth foundation development
Pia mafunzo yapo pamoja na taasisi zingine za selikali kama sido,teccc,ofisi ya raisi ,maendeleo ya jamii  pia chama  cha wafanyakazi
Nafasi wa wasiliki katika mafunzo hayo
Mfuko wa raisi
Kutuoa mafuzo ya kuendesha biashara
Kutoa mkopo na kufutilia mwenendo wa mjasilimali
Vigezo kunzia miaka 18 –45
Mkopaji lazima awe katika utaratibi wa kikundi
Riba ya mkopo huo ni asilimia moja 
Wannatoa mkopo kwa wajasiliamali wanzalisha na sio uchuuzi wa mali
Hukana dhaman a bali kikundi ndio dhamana
Sido
 Inatoa elimu ya kukuza biashara na tekenolojia kwa mjasilimali
Wanatoka mkopo wa vifaa ya kufanyika kazi katika ujasilimali mfano mshine ya kukoborea
Pia mkopo wa  ela
TECC
Kusimamia mafuzo,malezi na mkopo
Maendeleo ya jamii
Fursa  mikopo  4% riba asimilia 10 muda mwaka mmoja  pia kurudisha kila baada miezi  3
Utaribiribu ni kusajili kikindi

Kuanzishwa kwa via jiandalia ajira 2016-2020
unahudumia watu 30
Lengo   i) ujasiamali na standi
              ii)Kuendesha na kujua tabia za jamii
muundo wa mafuzo ya via
i)utambulisho
ii)mafuzo a)stadi za maisha
                  b)elimu ya ujasimali
mambo makuu mnne kuzingztia ili kuwa mjasilimali mzuri
i)kujua sababu na lengo la kufanya
ii)elewa uwezo ,ujunzi uliokuwa nao
ii)mahusiono watu kama kifamilia,ndugu na marfiki
iv)kutumia muda na fikra na uwekezaji katika lengo
MADA 
i)mpango wa maisha
a)kubainisha malengo binafsi
b)kuja faida za kupanga
c)kubainisha modeli za smart ya uwakaji
d)kubanisha hatua za uwekaji malengo
e)kubuni mipango mingine malengo
d)kubuni mpango ili kufika smart ndani ya kikundi.
Modeli ya smart
s-mahususi
m.lipimike
a.linalotekelezeka
r.linalodhihilika
t.muda maalumu
ii)kuweka  malengo
mfano ;kufungua kampuni


iii)uwajibikaji
mambo ya kuzingatia
i)jitahida
ii)wasaidie wangine
iii)kukubalia matokeo ya utendo wako
iv)zingatia sheria




Comments

Popular posts from this blog

International Law

KATIBA YA KIKUNDI