MATUMIZE BORA YA MUDA KWA MJASILIMALI
MATUMIZ BORA YA MUDA
Mjasiliamali anatakiwa azingatie matumizi mazuri ya muda ili kuweza kufika malengo yake kwa
haraka na kwa mpango nzuri
Jambo
kuu la kuzingatia
Kuweka
kipao mbele
MAMBO
MANNE ZA KUZINGATIA KATIKA UJASILAMALI
·
Kuwa
tayari .Mjasilimali lazima awe tayari kwa jambo ambalo
anategemea kufanya ita mwezesha kukabiliana na changamoto zote za kazi yake
·
Ujuzi
na utafiti .Ujuzi ni utaalama ambao mtu anao katika kufanya
jambo fulani. Hivyo unatakiwa uwe na ujuzi ili kuweza kupunguza matumizi ya
pesa na kuongeza kipato
·
Kuwekeza
muda ,pesa ,fikra
.Ili kuweza kufanikiwa untakiwa kuwekeza katika muda (kufanya kitu kwa mpango)
na pia kuweka akiba katika kufika malengo(mtaji) pia fikra ina husika na jinsi
ambayo unaweza kuboresha wazo lako katika kuendeleza maisha au biashara
·
Kujifunza
.Mjasilimali
anatakiwa kujifunza mara nyingi vitu mbalimbali kutokana na mabadiliko ya
maisha mfano matumizi ya tehema kama
computer na simu pia kuweza kutoa mafunzo kwa wengine katika kufanikisha
malengo ya watu na yake
UWAJIBIKAJIKA
Ni
utekeleza wa jambo ili kufika jambo Fulani
Hatua
za uwajibikaji
1. Jitahidi
2. Usikate
tama .Kukamilisha na ukimalize kama upo na mwenzio
3. Kusaidia
4. Kukuabiliana
na matokea
Kuwajibika
Kujitambua
Umuhimu
wa kutunza muda
Kuweka malengo fanikishi
Comments
Post a Comment