MPANGO WA MAISHA KWA MJASILIMALI
MPANGO
MAISHA
Ni
kitendo ambacho mtu anapanga katika kufika lengo .mpango wa miasha ni kitu
muhimu sana katika kuendelea kiuchumi hivyo tunatakiwa kufanya vitu katika njia
sahihi .mambo ya kuzingatia katika kuweka mpango wa maisha
a. Kuwa
tayari
b. Ujuzi
na utafiti
c. Kuwekeza muda,fedha
na fikra
NAMNA
YA KUWEKA MALENGO KUFANIKISHA MALENGO YA MUDA
·
Kubainisha malengo binafsi
·
Kujua faida za kupanga ili kupata
ukitakacho
·
Kubanisha malengo smart ya uwekaji
malengo
·
Kubanisha hatua za uwekaji malengo
·
Kubuni malengo kufanikisha malengo
·
Kubuni mpango ili kufikia lengo binafsi
ndani ya kikundi
Hatua
za kuweka malengo fanikishi (smart)
·
S-mahusi
·
M –Lipimike
·
A-Linalotekelezeka
·
R-linalodhirika
·
T-Muda
MADHARA
YA KUTO KUWEKA MALENGO
·
Kutofikia malengo
·
Kupoteza muda
·
Kushindwa kupata faida
·
Kupata hasara
Comments
Post a Comment