FOMU YA KUJIUNGA NA UMOJA WA WANACHUO


UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO ni kikundi kilichoanzishwa katika wilaya ya mtwara  mjini .kikundi kimeanzishwa 1/11/2018 KINACHOTAMBULIKA NA CHUO.Uongozi wa  kikundi unapokea maombi ya kujiunga na kikundi ili kuendeleza kikundi na kusaidiana kijamii na kiuchumi. Dhamira kuu ya kikundi ni kuzalisha, kutoa huduma katika jamii pia mambo yote ya ujasilimali ili kufika uchumi wa viwanda .tunatarajia ifikapo 2021 kufungua kampuni .
Madhuni ya kikundi
I.       Kutoa mtaji kwa mwanachuo  unapomaliza chuo
II.    Kutoa elimu ya utunzaji fedha na kuwekeza katika miradi mbalimbali.
III. Kuwaelimisha vijana kujihusisha na ujasiriamali kwa kuwatengenezea mazingira rafiki mfano
IV. Kutoa elimu juu ya maambukizi ya virusi vya ukimwi
V.    Kutoa elimu juu ya utunzaji mazingira
VI. Kutoa elimu ya matumizi ya tehema mfano komputer
Zifuatazo ni sifa za mwanachama mpya
I.            Awe ni mtanzania kuanzia miaka 18+
II.            Awe  anaweza kutoa ada 20,00
III.            Awe anaweza kutoa mchango
IV.            Awe anaheshimu uongozi wa kikundi uliochaguliwa
V.            Awe mtii na kusimamia na kulinda katiba ya kikundi iliyopendendekezwa
VI.            Kugombea nafasi ya uongozi na kuchangia maoni katika kikundi kufikia malengo ya kikundi
VII.            Awe mwanachuo

Viambatanisho

1.Fomu ya usajili wa chuo,kitambulisho cha chuo
2.Lazima awe na kitambulisho kama ID ya mpiga kura ,ID ya taifa au leseni ya udereva( kama vipo)

Taarifa binafsi
Jina la mwombaji (yote) ……………………………………………………..…jinsia ………….
Anuani ya makazi ………………………………… namba ya simu ……………………………..
Ujuzi,fani………………………………….
Maoni binafsi
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

Taarifa zote nilizotoa ni za kweli na kwa tatizo lolote ni wajibike. Pia nimesoma nakuelewa kuelwa fomu ya kujiunga hivyo nimekubaliana na maelezo yote yalio tolewa hapo  juu, nimekubaliana nayo na nitakuwa mtii na kufuta  taratibu zote za  UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO .Endapo nitakosea nitachukuliwa hatua  kulinga na miongozo ya katiba na fomu hii ,pia nitazingatia kanuni na sheria za jamhuri ya muungano wa TANZANIA .

JINA LA MWOMBAJI ………………………………….. SAHIHI……………………………...
TEREHE……………………………

UONGOZI WA UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO
JINA …………………………………………………. SAHIHI…………………………..
CHEO…………………………………. TEREHE………………………………

MAWASLIANO
Mwenyekiti   0758315397
Katibu           0766592772
  

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

International Law

KATIBA YA KIKUNDI