MUONGOZO WA UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO 2018-2019
MHUTASALI WA KIKUNDI
AGENDA:
a)
KUFUNGUA
KIKAO
b) UCHANGUZ WA UONGOZI
c) KUANZISHA UMOJA WA MWANACHUO
STEMMUCO
D) KUTUNZA PESA
E) KUFUNGAKIKAO
A)
KUFUNGUA
KIKAO
Mwenyekiti
waatafungua kikao mnamosaa 4;00 baada ya kuona mahudhurio yanaridhisha.
B)
UCHANGUZ WA UONGOZI
Wanachama
walipendekeza kufanya uchaguzi wa viongozi, walitoa nafasi ya mwnekiti,katibu,na
muasibu . waliochanguliwa.
Mwenyekiti
: GODLUCK KAWONGA
Katibu:
LAZARO KAPINGA
Msaisidizi
ISMAIL KAUPO
Mhasibu
CHRISTOPHER KAPANGA
Msaidizi AGRIN KOMBA
C)
KUANZISHA
UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO
Wajumbe
walipendekeza dhima ya kuunda kikundi katika mambo yafutayo :
1.
Kutoa
mikopo kwa wanachama kwa masharti nafuu kama mfumo wa kikundi unavyo eleza.
2.
Kutoa
mafunzo ya kina kwa wanakikundi juu ya kuweka fedha, kukopeshana na faida ya
kurejesha mikopo kwa wakati.
3.
Kutoa
mikopo kwa wanachama kwa riba nafuu
4.
kupunguza
umaskini wa kipato kwa kuhamasiha kukopa na kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.
5.
Kuhamsisha
wanakikundi kufanya shughuli zingine za kijamii kama vile kutunza mazingira,
kuwahudumia watoto yatima, kutoa mafunzo kwa watu wanaoishi na mambukizi ya
virusi vya Ukimwi, kudumisha mahusiano ya dini mbalimbali na kudumisha amani na
upendo katika jamii.
6.
Kuanzisha na
kuendeleza shughuli yoyote ya ki-uchumi na kijamii kwa manufaa ya kikundi kama
itakavyo kubaliwa na vikundi vyote.
7.
Kutoa ushauri/elimu
ya ki-uchumi, kifedha, kibiashara kilimo, ufugaji na masuala mtambuka kwa
vikundi na hata jamii inayotuzunguka.
8.
Uwekazaji na kuweka
akiba kwa malengo .
D)
KUTUNZA
PESA
Wajumbe
walipendekeza njia mbalimbali ya kuweka njia nzuri na bora ya kuweka pesa mfano
kufungua account .NMB CHAP CHAP ACCOUNT
E)KUFUNGA KIKAO
Mwenyekiti
alifunga mkutano mnamo saa 6;00
MAHUDHURIO
N
|
JINA
LA MWANACHAMA
|
WASIFU
|
SAHIHI
|
1
|
GODLUCK
H. KAWONGA
|
MWENYEKITI
|
|
2
|
CHRISTOPHER KAPANGA
|
MHASIBU
|
|
3
|
LAZARO
KAPINGA
|
KATIBU
|
|
4
|
ISMAIL
KAUPO
|
KT
MWENEZI
|
|
5
|
AGRIN
KOMBA
|
MHASIBU
MSD
|
|
Comments
Post a Comment