taaluma ya utafusiri
Kwa
mujibu wa longhorm katika ya kamusi ya karne 21(2013)Sauti nimlio unatokana na
vitu vinavyogongana au kusuguana .kaika lugha ya kiswahili kuna aina kuu tatu
za sauti nambazo ni irabu ,kosonanti na
viyeyusho
Zifuatazo
ni tofauti zilizopo katika aina tatu za sauti
Maana
ya irabu:BESHA1994)’ aina ya VITAMKWA
ambayo hutolewa pasipo KUWEPO na kizuizi chochote katika mkondo hewa utokao
mapafuni ukipitia katika chemba ya kinywani
. Hii ni kwa sababu glota ikiwa imeachwa wazi lakini nyuzi sauti zikiwa
zinalindima.
Lakini. Konsonanti. Ni sauti ambayo hutamkwa kutoka mapafuni kwa
kuwepo kwa kizuizi katika mkondo hewa ukipitia chemba ya kinywani kwenda nje. (kichore na wenzie 2001) vile
vile kiyeyusho ni sauti ambazo hutamkwa kwa kuachia mkondo hewa kutoka mapafuni
kupitia kinywani au puani kwa mkwaruzo mdogo.
Jinsi ya utamkaji.
Irabu hutamkwa pasipo kuwepo na kizuizi kwenye mkondo hewa hutkao mapafuni
kupitia kinywani. Mf. Irabu [a] hakuna kizuizini chochote cha mkondo hewa
lakini konsanti hutamkwa kwa kuwepo kwa kizuizini katika mkondo
hewa mfano,[b] [p], [v]. vile
vile viyeyusho. Hutamkwa kwa kuachilia mkondo hewa kutoka mapafuni kupitia
kinywani au puani kwa mkwaruzo mdogo mfano. [w].[y]
Idadi zake katika lugha
ya Kiswahili
Irabu katika lugha
yakiswahili zipo tano ambazo ni [a] [ ] [i] [ ] [u] ingawa kuna irabu
nyingaikatika lugha za binadamu lakin
konsonanti katika lugha ya Kiswahili
zipo 25 ambazo ni [b],[m],[p],[v],[d],[n] lakin viyeyusho vipo
viwili katika lugha ya
Kiswahili ambayo ni
[w],[j]
Uanishaji wake .
kwa upande wa irabu huanishwa
kulingana hali ya midomo na hali ya ulimi mfano
unapotamuka irabu [u o,] mdomo unakuwa viringe na
irabu [I,e, a,] mdomo si viringe hata ulimi hutegemea utamkwaji wa irabu husika . lakini kosonanti
huanishwa kwa namna ya kumkwa ambayo
mkondo hewa hutatizwa katika namna
mabilimbali ,ambapo ni mahali pakutamkia,hali ya glota lakini
uanishwa kwa kuangalia kuvilingwa
kwa mdomo na shina la ulimi
HITIMISHO
Kwa upande wa sauti na
aina zake hujitokeza kwa namna mbalimbali kulingana lugha husika mfano irabu katika lugha ya Kiswahili zipo
tano ni tofauti na lugha za kibantu mfano kisukuma hata kosonanti Kiswahili tunazo irishilini tano (25) laikini
kingereze zipo 27.
Marejeo
Ruth mfumbwa besha
(1994)utangulizi wa lugha na
isimu Macmillan AIDAN .
D.P,(MASAMBA,Y.M KIHORE
;Y.P MSANJILE 2004)( FonolojiA ya Kiswahili
Sarufi
Comments
Post a Comment