USHAURI KWA WANACHUO WOTE
MAMBO MUHIMU AMBAYO WANACHUO ANAWEZA KUFANYA NA KUPATA KIPATO
Naitwa GODLUCK HYASINT KAWONGA ni mwanchuo wa SAUTI (MTWARA) ambaye nasoma ualimu pia ni ujuzu wa mambo mbalimbali amboa nimeweza kutumia na kunipatika kipato kwa kiasi kikubwa .Ni ngumu sana mwanachuo kusoma bila kupata mkopo ila kwa kufuta ushauri huu unaweza kukasoma na kuwasaidia wanachuo mwengine (2019)
Tabia za kuzingatia ili uweze kupata fedha ukiwa chuoni
chagua marafiki ambayo anaweza kubadili maisha yako ukiwa chuo au ukimaliza
Acha kununua vitu ya dhamani kubwa ambayo hawikuingizii kipato mfano simu ,sofa,kabati
cha msingi nunua vitu kulinga na mahitaji
Ikumbukwe kuwa kila kitu ni tabia hivyo hata biashara inatabia zake ambazo unatikiwa kufata ambazo ni
- Penda kujinza mara kwa mara vitu ambayo vinaweza kupungu matumizi ya fedha mfano; kutengeneza simu,kutengeneza komputa n.k
- kuweka akiba na kuwekeza iwe miongoni wa tabia zako
- kutoa ushauri kwa wajasilimali wengine na kuwasaidia kupata masoko
- kushirikia na watu mbalimbali waliokuzidi na uliowazidi
- tafuta jina litakutambulisha kibiahara mfano G-VACK PRODUCTION ambalo unaweza kupata litakuwezesha kujishughulisha na vitu mfano VACK COMPUTER,VACK GROUP ,VACK GAS SUPPLIES ,VACK FASTION,VACK MEDIA,VACK MUSIC ,VACK TUTION CENTER ,VACK TRANSPORT ,VACKLINE ,VACK STATIONARY .
MAMBO AMBAYO UNAWEZA KUFANYA NA KUPATA FEDHA YAFUATAYO
- KUTAFUTA MASOKO .Wanachuo wengi wanahitaji biadha yingi na wanakuwa wageni hiyo unaweza ukawa dalali wa vyumba,kuingia mikataba na kampuni za ges,
- kutafuta uwakala mfano kusajili lain za chuo ,ges,
- kukopesha pesa kwa lengo la saidia .Unaweza kufanya pekee yako au mwezako kupitia ofisi ya chuo (serikali ya mwanafunzi )
- Unaweza kuuza juice,kuwa msusi ,kutengeze computer ,kufungua stationary
- Unaweza kununua bodaboda na wanachuo wengine wakawa wateja .
kwa ufafanuzi zaidi kila jambo na faida zake endelezea kufuata fuatia au nichek
NB.KUMBUKA CHUONI NDIO SEHEMU PEKEE AMBAYO WANAPATA ELA BILA KUFANYA KAZI,PIA NDIO SEHEMU AMBAYO WATU WANATUMUA ELA VIBAYA SANA
Kwa mawasiliano
whatapp 0758315397
0788740962
inst vack prodution
Comments
Post a Comment