VIGEZO NA MASHARTI KWA MKOPAJI


Vigezo ya mkopo vack group
VIGEZO NA MASHARTI KWA MKOPAJI
1.                  Lazima awe mtanzania
Awe mtanzania ambaye  anaendelea na kufuta taratibu za nchi
2.                  Lazima awe na vitambulisho kama ID ya mpiga kura, ID ya taifa au Lesini ya
udereva .Ni muhumu kujua mtu urahia wake ili tuwezesha kupata taarifa zote katika cha msingi.
3.                  Awe na mdhamini.
      Mdhamini awe na sifa zifuatazo;
        i.            Awe na uwezo wa kutatua tatizo pindi litakapo tokea juu ya mkopaji
      ii.            Awe mtanzania mwaka wowote
    iii.            Awe anafahamu au kumfahamu vyema anaye mkopaji kwa kiundani
Hivyo mdhamini  ni mtu muhimu sana ataweza kuthibitisha kuwa mkopaji  ataweza kulipa
Pia mdhamini atawajibika kutoa msaada kwa lolote ambalo litakuwa limetokea juu ya mkopaji.
4.                  Lazima awe na dhamana ambayo anaimiliki inayoendana na mkopo anaokopa
Dhamana itamsaidia mkopeshaji pale mkopaji ataposhindwa kulipa.
7. Mkopaji akizidisha siku za kurejesha mkopo atatozwa riba kulinga na siku ambazo amechelesha marejesho
8. Mkopaji ambaye ataomba kuendelea  mkataba atatakiwa kutoa taarifa mwiki moja (1) kabla ya kufanya marejesho ya mwezi.
9.Lazima awe anafanya biahara au kazi inayoweza kumpa kipato
10.Awe na  uwezo kulipa ela ya fomu kuanzia 10,000 mpaka 100,000 ni tsh 20, 00
100,000 mpaka 200,000 fomu tsh 40,00 kuanzia 300,000 mpka 500,000 fomu 5000

Imetolewa na uongozi wa vack group
MWENYEKITI:  GODLUCK .H. KAWONGA.
 KWA MAWAILIANO NO: 0758315397 au 0758723945

Comments

Popular posts from this blog

International Law

KATIBA YA KIKUNDI