VIGEZO NA MASHARTI KWA MKOPAJI
Vigezo ya mkopo vack group
VIGEZO
NA MASHARTI KWA MKOPAJI
1.
Lazima awe mtanzania
Awe mtanzania ambaye
anaendelea na kufuta taratibu za nchi
2.
Lazima awe na vitambulisho kama ID ya
mpiga kura, ID ya taifa au Lesini ya
udereva .Ni muhumu kujua mtu urahia wake ili
tuwezesha kupata taarifa zote katika cha msingi.
3.
Awe na mdhamini.
Mdhamini
awe na sifa zifuatazo;
i.
Awe na uwezo wa kutatua tatizo pindi litakapo
tokea juu ya mkopaji
ii.
Awe mtanzania mwaka wowote
iii.
Awe anafahamu au kumfahamu vyema anaye
mkopaji kwa kiundani
Hivyo mdhamini
ni mtu muhimu sana ataweza kuthibitisha kuwa mkopaji ataweza kulipa
Pia mdhamini atawajibika kutoa msaada kwa lolote
ambalo litakuwa limetokea juu ya mkopaji.
4.
Lazima awe na dhamana ambayo anaimiliki
inayoendana na mkopo anaokopa
Dhamana itamsaidia mkopeshaji pale mkopaji
ataposhindwa kulipa.
7. Mkopaji akizidisha siku za kurejesha mkopo
atatozwa riba kulinga na siku ambazo amechelesha marejesho
8. Mkopaji ambaye ataomba kuendelea mkataba atatakiwa kutoa taarifa mwiki moja (1)
kabla ya kufanya marejesho ya mwezi.
9.Lazima awe anafanya biahara au kazi inayoweza
kumpa kipato
10.Awe na
uwezo kulipa ela ya fomu kuanzia 10,000 mpaka 100,000 ni tsh 20, 00
100,000 mpaka 200,000 fomu tsh 40,00 kuanzia 300,000
mpka 500,000 fomu 50000
Imetolewa na uongozi wa vack group
MWENYEKITI:
GODLUCK .H. KAWONGA.
KWA MAWAILIANO NO: 0758315397 au 075872394
Comments
Post a Comment