SIFA ZA CHOO BORA Nchi Tanzania kupita wizara ya afya inahamasiha watanzania kujenga choo bora katika nchi yetu.Hivyo vijana wa kitanzania ni fursa kwa kujenga vyoo bora huku ukijipatia kipato .CLOUD MEDIA GROUP kupita kauli mbiu “ya usichukulie bora nyumba ni choo “imeweza kufanikiwa kuhamasisha watu kujenga vyoo bora mchini Zifuatazo ni sifa za choo bora Ukuta Choo bora lazima kiwe na ukuta unaweza kusaidia kustili mtumiaji ili aweze kuwa na raha kipidi chote akiwa chooni hivyo ni muhimu sna kuwa na choo chenye ukuta. Mlango Ukiwa na mlango bora inakuwanya kuwa huru katika kutumia choooo bar hivyo tunashauriwa kuwa na choo chenye malango Sakafu nzuri Inasidia kupuguza kutambaa kwa waduu ambao wanatokana na uchafu wa chooni Paa na shimo nzuri Husaidiana kutuia jua na mvua pia shimo linasaidia kupunguza harufu chooni By godluk kawonga Chanzo Godl...
Posts
Showing posts from October, 2018
- Get link
- X
- Other Apps
NJIA YA KUWEKA AKIBA AKIBA ni nini Akiba ni pesa ambayo inawekwa kwa malengo Fulani Kuna aina mbili ya akiba kutoka na maleng Akiba ya lazima Akiba sio ya lazima Mfumo wa kuweka akiba kutoka kwenye kipato Kipato huwa asilimia 100% Mgawanyo 20% kuweka akiba 20% matumizi ya kijamii mfano misaada ,michango ya harusi 40% matumizi ya msingi kula ,kuvaa 20% uwekazi mfano ununuzi wa simu NJIA NZURI YA KUWEKA AKIBA Vikoba Bank Upato,mchezo Simu bank Kibubu VIKOBA NA VIKUNDI Huu ni mtindo ambayo ulianzishwa kwa lengo la kusaidia wanawake kuweza kujiendeleza kimaendelo kwa kuweka akiba na kukopesha . Mfumo huu unaendeshwa na katiba ambayo inasimamiwa na viongozi ,Utumia mfumo wa kuweka fedha kwa kununua hisa ,pia kuweka fedha kwa mfuko wa jamii Faida zake Husaidia kushilikia katika mambo ya kimaendeleo pia kuuza na kunununa bidhaa mbalimbali za wajasilimali . BANK Bank ny...
- Get link
- X
- Other Apps
MBINGA MJINI HABARI KWA VIJANA MBINGA KWA WALE WENYE NDOTO NA TUMAINI KUBWA LA KUWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TUNAEZA KUFUNGUA FIX ACCOUNT TUKAWEKA PESA 20,000 KWA 20 KWA MWEZI 400,000 KWA 4,800,000 AMBAYO TUTAWEZA KUFANYA BIASHARA KUBWA . MFUMO WAUTUNZAJI FEDHA UTASAJILIWA KISHERIA KWA MAELEZO ZAIDI WHATAPP 0758315397 GODLUCK KAWONGA
- Get link
- X
- Other Apps
VACK GROUP Kupitia uongozi wa kikundi vack group tunapenda kutoa taarifa kwa uuma juu ya mafuzo mbalimbali katika ujasimali yanayotelea bure. VACK GROUP ni kikundi kinachoshughuli mbalimbali na kina wataalamu mbalimbali. MAFUZO YANAYOTOLEWA UJASILIMALI STADI ZA MAISHA MATUMIZI YA TEHEMA JINSI YA KUTUMIA FURSA MKOA WA RUVUMA JINSI YA KUANZISHA KIKUNDI , CHAMA CHA USHILISHA NA KAMPUNI USHAURI NA JINSI KUFANYA BIASHARA KUPITIA MIKATABA MAKAO MAKUU YA VACK GROUP MKOA : Ruvuma wilaya: Mbinga mjini kata :masumuni mtaa : uzunguni Mwenyekiti :0758315397 TAWI LA MTWARA ENEO :Chuo cha stella ma...
- Get link
- X
- Other Apps
Fiesta 2018 fursa :fikra mpya mtwara Fursa mtwra kupitia kaulimbiu ya fikra mpya iliweza kuanisha fursa nyingi chini ya mwezeshaji Hassan ngoma huku mgeni rasmi mkuu wa mkoa ndugu GELASIUS BYAKAWANMWA pia kulikuwa na watalaamu wa kilimo toka taasisi ya utafiti naliandele ndugu Kapinga vijana wakishiriki katika fursa H assan Ngom a mtangazaji wa clous tv kipindi cha 360 akiwa na wanachuo toka sauti(mtwara) baada ya mafunzo HASSAN NGOMA ( huyo wa katika) FURSA AMBAZO LILIWEZA KUPATIKA · Kupitia zao la korosho linaweza kutimika katika matumizi mengi licha ya kutumika kwa kuuza tu . a)Lina weza kitumika kwa kutengeneza wine,juice,dawa,chakula cha mifugo,jam,siagi na kama chanzo cha nishati · B) Kitumia zao la mihogo unaweza kupata starch,unga wa lishe kwa maelezo ya piga 0716743515 kujua zaidi · ...