HISTORIA YA VACK COMPUTER
waaanzulishi wa VACK COMPTER (MTWARA)
Ndugu christopher kapanga ,Godluck kawonga tangu 2016-
Tumeweza kusaidia watu wengi katika nyanja mbalimbali
VACK COMPUTER
Teweza kutengeneza komputer nying pamoja simu mbalimbli na kuweza kusaidi wanachuo to 2016.
VACK STATIONARY
Tumeweza huduma za kuprint ,scanning ,copying hadi
VACK MIKOPO
tunaweza kukopesha watu wengi sana ndani ya mwezi TSH 4,000,000 na kutatua shida za watu mbalimbali hivyo tunaseme asante kwa jumuhiya ya stemmuco kwa kuzidi kutuunga mkono wadau
Tumeweza kuhamasiha watumbalimbali kufanya biashara ambazo zimewasaidi
Tumeweza kufundua kikundu ambacho STAR GROUP
VACK GAS SUPPLIES
Tumekuwa kukibadilisha gas na kusambaza miguni ya gas kwa wanachuo wengi sana hivyo tunazidi kuendelea na huduma
VACK BODA BODA
Tupo kwenye mchakato wa kufungua vack boda boda ambayo itakuwa inatoa huduma jirani kabisa na wanachuo hivyo tunakusuduia kufanya vizuri zaid
by godluck kawonga (stemmuco)
Comments
Post a Comment