Posts

KATIBA YA KIKUNDI

KATIBA YA VACK GROUP SEHEME YA 1. UTANGULIZI 1 JINA LA KIKUNDI VACK GROUP IBARA YA PILI: 2: TAFSIRI YA MANENO MBALIMBALI  2.1 Kikundi kina mkusanyikon wa watu 2.2 Wanachama wa kikundi wana mtazamo moja  2.3 Wanadhamira moja katika kujenga taifa IBARA YA 3. UTANGULIZI Wanachama wa kikundi cha VACK GROUP tumejipanga kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo yetu IBARA YA 4. KATIBA Katiba ni kanuni ya nchi au taasisi iliyopangwa kwa makubaliano maalumu yanayosimamia sheria kufuata miongozo yake bila kwenda kinyume.Kwenda kinyume cha hapo ni kosa. IBARA YA 5. JINA LA KIKUNDI Kikundi kinaitwa VACK GROUP  IBARA YA 6. LUGHA RASMI YA KIKUNDI Lugha rasmi ya kikundi ni Kiswahili na kingereza. IBARA YA 7. OFISI KUU Makao makuu ya kikundi yatakua ndani ya Mbinga mjini. IBARA YA 8. ENEO LA UTENDAJI WA KAZI  Itakuwa ndani ya wilaya ya mbinga IBARA YA 9. KANUNI ZA KIMAADILI  9.1 Kuheshimiana wenyewe kwa weny...

mhutastali wa vack group

MUHTASARI WA KIKUNDI AGENDA :  a) Kufungua kikao  b) Kuanzisha kikundi c) Kucchagua jina la kikundi d) Kufungua akaunti benki e) Kufunga kikao  A) KUFUNGUA KIKAO  Mwenyekiti wa muda alifungua kikao mnamo saa saba tarehe 6/9/2017 baada ya kuona mahudhurio yanaridhisha B) MWENYEKITI KUFUNGUA KIKUNDI  Mwenyekiti wa muda ataweka wazi bayana juu ya kuanzisha kikundi kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.Dhamira ya kikundi ni kutoa elimu ya ujasilimali mfano,kuandaa matamasha ,kutoa elimu juu ya magonjwa mbalimbali mfano HIV,Malaria n.k ,Elimu ya biashara ndogo ndogo na kilimo .Kwa kufanya hivyo wataweza kuongeza kipato na kujitangaza zaidi ili kufikia lengo la sera ya mheshimiwa Raisi wa nchi Mh. JOHN POMBE MAGUFULI Tanzania ya viwanda. Wote walifikia mawazo hayo na kuamua kuchagua viongozi, Uongozi ulikuwa kama ufuatao:  i) Godluck H. Kawonga: Mwenyekiti  ii) Geofrey Matembo: Mwasibu  iii) Festo Germanus Mbwilo: Katib...

AUDIO | Phillz Ft. Darassa - Namba Moja ( Club Banger ) | Download ~ DJ Mwanga

AUDIO | Phillz Ft. Darassa - Namba Moja ( Club Banger ) | Download ~ DJ Mwanga

AUDIO | P The MC Ft. Otuck - NIMERIDHIKA | Download ~ DJ Mwanga

AUDIO | P The MC Ft. Otuck - NIMERIDHIKA | Download 

AUDIO | Fid Q Ft. Diamond Platnumz & Rayvanny - Fresh Remix | Download ~ DJ Mwanga

AUDIO | Fid Q Ft. Diamond Platnumz & Rayvanny - Fresh Remix | Download ~ DJ Mwanga

UZURI WA MJI WA KILWA

Image
DOLA YA MRIMA (KILWA) ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D) No comments Mjii wa Kilwa ni mji maarufu sana barani afrika kwa sifa zake sio kwamba kwa sababu ya jina lake au ukarimu wa watu wake bali ni kwa historia yaketoka zama za kale za historia ya ulimwengu na habari za wanahistoriatokaduniani kote. Bila shaka binafsi sina shaka kabisa na hilii kwa sababu nilipata bahati ya kutembelea iliokuwa mijii kazaa ya Dola la Mrima yani miji ya kilwa, Tanga( mta'nga'ta), Sadani, Kaole, Zanzibar,Mombasa na Bagamoyo lakin pamoja na kujionea utajili wa kihistoria niliojionea sikusita kabisa kukubaliana na historia hiyo ya Dola la Mrima lililokuwa likipatikana pwani ya Azania na ndio Dola lililokuwa dola kuu Afrika kiuchumi, kijeshi, kisiasa na kiteknolojia. Pia ndio dola lililokuwa na ushawishi katika ulimwengu wa zama hizo uliokuwa ukiongozwa na Dola la Rumi na baadae Dola la Hermani (ujerumani). Taifa la Mrima ni Dola lililo kuwa likipatikana mashaliki ya ba...
Image
 HARMORAPA   Since Artist Harmorapa has entered the music to start to be compared to an artist Harmonize, every time the rapper has been entered on the 'headline' wide and discussed by many artists the biggest in the country, others were pleased with his actions while others mocked him and see that he deserves to be a musician. He started as a joke has to be compared with the bright label WCB minor then starts to penetrate into the ears of love entertainment. We are referring here HarmoRapa  is predicted to major in music of bongo Fleva Time here. His first single not divide a passport is placed on the map and start to be known, though it did not properly market. This Time around HarmoRapa has come up with another hit in Town goes by the name "kiboko ya mabishoo" Many thought if Jokes but relatives had become serious now after signing a deal with a large imaging technology bongo Slides Visual less Mx Carter. Also contusion with producer p funk ...