Posts

FOMU YA KUJIUNGA NA UMOJA WA WANACHUO

UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO ni kikundi kilichoanzishwa katika wilaya ya mtwara   mjini .kikundi kimeanzishwa 1/11/2018 KINACHOTAMBULIKA NA CHUO.Uongozi wa   kikundi unapokea maombi ya kujiunga na kikundi ili kuendeleza kikundi na kusaidiana kijamii na kiuchumi. Dhamira kuu ya kikundi ni kuzalisha, kutoa huduma katika jamii pia mambo yote ya ujasilimali ili kufika uchumi wa viwanda .tunatarajia ifikapo 2021 kufungua kampuni . Madhuni ya kikundi I.        Kutoa mtaji kwa mwanachuo   unapomaliza chuo II.     Kutoa elimu ya utunzaji fedha na kuwekeza katika miradi mbalimbali. III. Kuwaelimisha vijana kujihusisha na ujasiriamali kwa kuwatengenezea mazingira rafiki mfano IV. Kutoa elimu juu ya maambukizi ya virusi vya ukimwi V.     Kutoa elimu juu ya utunzaji mazingira VI. Kutoa elimu ya matumizi ya tehema mfano komputer Zifuatazo ni sifa za mwanachama mpya I.       ...

MUONGOZO WA UMOJA WA WANACHUO STEMMUCO 2018-2019

                                          MHUTASALI  WA KIKUNDI AGENDA : a)       KUFUNGUA KIKAO b ) UCHANGUZ WA UONGOZI c) KUANZISHA UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO D) KUTUNZA PESA E) KUFUNGAKIKAO A)     KUFUNGUA KIKAO Mwenyekiti waatafungua kikao mnamosaa 4;00 baada ya kuona mahudhurio yanaridhisha. B)       UCHANGUZ WA UONGOZI Wanachama walipendekeza kufanya uchaguzi wa viongozi, walitoa nafasi ya mwnekiti,katibu,na muasibu . waliochanguliwa. Mwenyekiti : GODLUCK KAWONGA Katibu: LAZARO KAPINGA Msaisidizi ISMAIL KAUPO Mhasibu CHRISTOPHER KAPANGA Msaidizi   AGRIN KOMBA C)     KUANZISHA UMOJA WA MWANACHUO STEMMUCO Wajumbe walipendekeza dhima ya kuunda kikundi katika ma...
             SIFA ZA CHOO BORA Nchi Tanzania kupita wizara ya afya inahamasiha watanzania kujenga choo bora katika nchi yetu.Hivyo vijana wa kitanzania ni fursa kwa kujenga vyoo bora huku ukijipatia kipato .CLOUD MEDIA GROUP kupita kauli mbiu “ya usichukulie bora nyumba ni choo “imeweza kufanikiwa   kuhamasisha watu kujenga vyoo bora mchini Zifuatazo ni sifa za choo bora Ukuta Choo bora lazima kiwe na ukuta unaweza kusaidia kustili mtumiaji   ili aweze kuwa na raha kipidi chote akiwa chooni hivyo ni muhimu sna kuwa na choo chenye ukuta. Mlango   Ukiwa na mlango bora   inakuwanya kuwa huru katika kutumia choooo bar hivyo tunashauriwa kuwa na choo   chenye malango Sakafu nzuri Inasidia kupuguza kutambaa kwa waduu ambao wanatokana na uchafu wa chooni Paa   na shimo nzuri Husaidiana kutuia jua na mvua pia shimo linasaidia kupunguza harufu chooni By godluk kawonga Chanzo Godl...
      NJIA YA KUWEKA AKIBA AKIBA ni nini Akiba   ni pesa ambayo inawekwa kwa malengo Fulani Kuna aina mbili ya akiba kutoka na maleng Akiba ya lazima Akiba sio ya lazima Mfumo wa kuweka akiba kutoka kwenye kipato Kipato huwa asilimia 100% Mgawanyo 20%    kuweka akiba 20%   matumizi ya kijamii mfano misaada ,michango ya harusi 40%   matumizi ya msingi kula ,kuvaa 20% uwekazi mfano ununuzi wa simu   NJIA NZURI YA KUWEKA AKIBA Vikoba Bank Upato,mchezo Simu bank Kibubu VIKOBA NA VIKUNDI Huu ni mtindo ambayo ulianzishwa kwa lengo la kusaidia wanawake kuweza kujiendeleza kimaendelo kwa kuweka akiba na kukopesha . Mfumo huu unaendeshwa na katiba ambayo inasimamiwa na viongozi ,Utumia mfumo wa kuweka fedha kwa kununua hisa ,pia kuweka fedha kwa mfuko wa jamii Faida zake Husaidia kushilikia katika mambo ya kimaendeleo pia kuuza na kunununa bidhaa mbalimbali za wajasilimali . BANK Bank ny...
                        MBINGA MJINI HABARI KWA VIJANA MBINGA KWA WALE WENYE NDOTO NA TUMAINI  KUBWA LA KUWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TUNAEZA KUFUNGUA FIX ACCOUNT TUKAWEKA PESA 20,000 KWA 20 KWA MWEZI 400,000 KWA 4,800,000 AMBAYO TUTAWEZA KUFANYA BIASHARA KUBWA . MFUMO WAUTUNZAJI FEDHA UTASAJILIWA KISHERIA   KWA MAELEZO ZAIDI WHATAPP  0758315397 GODLUCK KAWONGA 
VACK GROUP  Kupitia uongozi wa kikundi vack group tunapenda  kutoa taarifa kwa uuma juu ya mafuzo mbalimbali katika ujasimali yanayotelea bure. VACK GROUP ni kikundi kinachoshughuli mbalimbali na kina wataalamu mbalimbali. MAFUZO YANAYOTOLEWA  UJASILIMALI  STADI ZA MAISHA  MATUMIZI YA TEHEMA   JINSI YA KUTUMIA FURSA MKOA WA RUVUMA  JINSI YA KUANZISHA  KIKUNDI , CHAMA CHA USHILISHA NA KAMPUNI   USHAURI NA JINSI KUFANYA BIASHARA KUPITIA MIKATABA     MAKAO MAKUU YA VACK GROUP                   MKOA : Ruvuma                    wilaya:   Mbinga mjini                   kata    :masumuni                    mtaa : uzunguni  Mwenyekiti :0758315397 TAWI LA MTWARA ENEO  :Chuo cha stella ma...
Image
PICHA BAADA YA KUHUDHURIA FURSA 2018